ELIMU KWA WATOTO
Kumuelimisha mtoto kuhusu maswala ya ukatili ni kumfanya ajitambue na awe na ufahamu wa kujua viashiria vya ukatili na jinsi ya kuepuka..pia elimu inampa mtoto ujasiri wa kutoa taarifa endapo atakutana na viashiria vya ukatili,hiyo itasaidia kupunguza na kutokomeza matukio ya ukatili kwa watoto.

All Categories
Recent Posts
Peter John0 Comments
ELIMU NA MAZOEZI
Peter John1 Comment
WATOTO WETU
Peter John0 Comments
KATAA RUSHWA YA NGONO
+0123 (456) 7899
contact@example.com