Changia · Donate

Safari Salama Bila Rushwa ya Ngono Inawezekana

Mchango wako unawawezesha madereva wa bodaboda, bajaji na daladala kuwa walinzi wa wasichana na wanawake, na unawafikia watoto shuleni kwa elimu ya kupinga rushwa ya ngono.

Changia kwa Mixx by Yas

Donate by mobile money – fast and simple.

Namba ya kuchangia / Donation number+255 713 950 625
  1. Fungua menyu au app ya Mixx by Yas na uchague Tuma Pesa (Send Money).
  2. Weka namba 0713 950 625 na kiasi unachotaka kuchangia.
  3. Hakikisha jina la mpokeaji kabla ya kuthibitisha. Ukiwa na shaka, tupigie kwanza.
  4. Tutumie ujumbe WhatsApp wenye jina lako na kiasi ili tukushukuru na kukupa risiti.
Tuma ujumbe WhatsApp

Kutoka mitandao mingine (M-Pesa, Airtel Money, HaloPesa) unaweza kutuma kwenda namba hii ya Mixx by Yas. Outside Tanzania? Email wajiki2014@gmail.com for other ways to give.

Mchango wako unafanya nini?

What your support makes possible

  • Mafunzo kwa madereva – bodaboda, bajaji na daladala wanakuwa mabalozi wa Safari Salama.
  • Elimu shuleni – klabu za kupinga rushwa ya ngono kwa wanafunzi wa msingi na sekondari.
  • Door to Door – elimu kwa familia na jamii nyumba kwa nyumba.
  • Kufuatilia na kuripoti – kuwasaidia waathirika kupata msaada.

Tangu 2018 kampeni imewafikia madereva wa bodaboda zaidi ya 6,000 na watoto zaidi ya 4,300 jijini Dar es Salaam.

Njia nyingine za kushiriki · Other ways to help

Kuwa Balozi

Wewe ni dereva au kiongozi wa kituo? Jiunge na mtandao wa mabalozi wa Safari Salama.

Wasiliana nasi

Jitolee · Volunteer

Saidia kwenye kampeni za shuleni, Door to Door na matukio ya jamii.

Jiunge

Shirikiana nasi · Partner

Mashirika, wafadhili na makampuni: tushirikiane kufikia wilaya zaidi.

Piga simu

Unahitaji msaada sasa? · Need help now?

Kama wewe au mtoto unayemjua amefanyiwa ukatili au ameombwa rushwa ya ngono: piga 116 (Msaada wa Mtoto, bure), 113 (TAKUKURU – rushwa), au fika Dawati la Jinsia na Watoto kituo cha polisi kilicho karibu. Unaweza pia kutupigia WAJIKI: 0713 950 625.