WATOTO WETU
Watoto wetu wamekua wahanga wakubwa wa matendo ya ukatili katika jamii yetu.matukio ya watoto kubakwa na kulawitiwa yamekithiri sana na baadhi ya watu hufumbia macho matukio hayo na kushindwa kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama..
Sisi kama wajiki tumechagua njia ya kuifikia jamii na kutoa elimu juu ya maswala ya ukatili,imani yetu ni kwamba kwa elimu tunayotoa kwenye jamii italeta chachu ya mabadiliko ya kifikra na ufahamu juu ya haki za binadamu na ulinzi wa watoto,Pia elimu itasaidia jamii kapata ujasiri na kufichua watu wanaofanya ukatili kwa watoto ili wapelekwe kwenye vyombo vya sheria na kuchukuliwa hatua stahiki.
Tusimame imara na kuhakikisha safari salama kwa watoto wetu,pamoja tunaweza.

One thought on “WATOTO WETU”
Add a Comment Cancel reply
All Categories
Recent Posts
Peter John0 Comments
ELIMU NA MAZOEZI
Peter John1 Comment
WATOTO WETU
Peter John0 Comments
KATAA RUSHWA YA NGONO
+0123 (456) 7899
contact@example.com
latdze