ELIMU NA MAZOEZI

Vita dhidi ya ukatili ni vita kubwa sana ambayo inahitaji umoja wetu ili kushinda,pia ili tuweze kushinda vita hii ni lazima kila mtu kwenye jamii ajue wajubu wake,ili kuzuia na kutokomeza kabisa maswala ya ukatili inatupasa wote kuwa mstari wa mbele kukemea na kuripoti matukio ya ukatili.

Sisi wajiki tumetumia jukwaa la jogging kukutana na watu wa rika zote na kuwapa elimu juu ya maswala ya ukatili ikiwemo ukatili wa kingono ubakaji na ulawiti,ukatili wa kijinsia na vipigo.Elimu ni moja ya silaha muhimu katika mapambano dhidi ya ukatili.Tushirikiane kupinga ukatili,tushirikiane kutokomeza rushwa ya ngono.

Add a Comment

Your email address will not be published.

Recent Posts

ELIMU NA MAZOEZI

WATOTO WETU

KATAA RUSHWA YA NGONO

Give them a helping hand

SPECIAL ADVISORS
Quis autem vel eum iure repreh ende

+0123 (456) 7899

contact@example.com